Bima gari dogo la biashara

Vehicle Insurance

295,000.00

  • SKU:
SELECT PACKAGE

Bima ndogo ya gari la Biashara lenye uwezo wa kubeba mzigo wenye uzito wa kati ya tani 5 na usio zidi tani 10 inaanzia Tsh 295,000/= kwa mwaka. Ofisi zetu ziko wazi Jumatatu hadi Jumamosi. Kwa siku ya Jumapili, huduma zetu zinapatikana kwa njia ya mtandao. Karibu sana Kiwawa Insurance.


Related Products

KIWAWA INSURANCE AGENCY